![]() |
Photo Credits: bigfatbags.co.uk |
Hivi karibuni, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitanganza kuanza kuchukua hatua kuhusu athari za mifuko ya plastiki kwa mazingira yetu.
Watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo kinzani juu ya maamuzi hayo.
Wapo wanaoamini kuwa mifuko hiyo ni sehemu ya uchafuzi wa mazingira na wengine wanaamini kuwa kwa kuondolewa kwake, kuna sehemu ya ajira ambayo itaathirika.
Ripoti hii ya Mubelwa Bandio katika Amplifaya ya Mei 30, 2016 imegusia baadhi ya takwimu chache kuhusu suala hili
KARIBU
Je ile inayohifadhia taka katika Ndoo za nyumbani na Mahospitalini inakuwaje nazo pia Marufuku?
ReplyDelete