Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai
akiingia kwenye ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo yanayoulizwa na Wabunge leo mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akiwasili
viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Wabunge wakiwasili viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
(Picha na Eleuteri Mangi-MALEZO, Dodoma)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...