Wadau wa utamaduni wakicheza bao
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na
Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel kushoto akipokea picha ya Rais John Pombe
Magufuli kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Bi. Lilly Beleko
iliyochorwa na msanii wa Kitanzania Bw.Furaha Mwakitalu wakati wa maadhimisho
ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana
Baadhi Ya wasanii wakionyesha umahiri wao wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam |
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na
Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea na wadau mbalimbali wa Sanaa
wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana, Picha
na Benjamin Sawe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...