Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza, na ni ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu ,mazingira yake si rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo-Swali wahusika wanalijua hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha Emanuel Madafa-Jamiimojablogu).
Muonekano wa mbele ofisi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya. 
Muonekano wa Nyuma Ofisi za ardhi halmashauri ya jiji la Mbeya, madirisha yakiwa yamewekewa Mabati na nyavu za muda mrefu ambazo zimeshika kutu,inasikitisha sana nadhani hili ni jipu lililo komaa,cha kusikitisha zaidi ndani ya jengo hilo zipo pia ofisi za Mbunge wa Mbeya mjini. 

.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2016

    Ofisi ya Ardhi Mbeya tafuta fungu kukarabati jengo chakavu la nyuma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...