Kaimu Mkurugenzi  Idara ya Utamaduni Bi. Lily Beleko  kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni yanayotarajia kufanyika  Mei 21 mwaka huu ,kulia ni Afisa Habari  wa Wizara hiyo Bw.Benjamini Sawe.
Kaimu Mkurugenzi  Idara ya Utamaduni Bi. Lily Beleko  kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo akisikiliza swali kutoka kwa mwandishi wa habari  (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni yanayotarajia kufanyika  Mei 21 mwaka huu.

Picha na Eliphace Marwa - MEELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...