Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga akifungua kongamano la wadau wanao jadili uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam Tarehe 30/5/2016.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la uwezeshaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na watoto nchini Tanzania Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga unaofanyika Bahari Beach Hotel- Ledger Plaza Kunduchi ,Dar es salaam tarehe 30/5/2016.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...