Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza na wahitimu wakati wa mahafali hayo.
Mhitimu wa kidato cha sita Sabrina Hamad, akikabidhiwa vyeti vya kufanya vizuri katika masomo ya Chemistry na Physics na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.
Mhitimu wa kidato cha sita Suleiman Chanzi akikabidhiwa cheti cha kufanya vizuri katika somo la English na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.
Mhitimu wa Ualimu wa Shule ya Awali, wa Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mwazan Omar, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...