Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt. Asha_Rose Migiro alipotembelea Ofisini kwake leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2016

    Balozi akifika kituoni aangalie uwezekano wakuongeza uwezo wetu wa kumudu lugha ya kiingereza hasa mashuleni ili kizazi kijacho nchini kiweze kumudu lugha hii vizuri zaidi ya kizazi kilichokwiha kutoka shuleni hivi sasa kwa ajili ya kubresha lugha ya pili na mawasiliano yetu na nchi nyingine.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2016

    Mdau wa lugha umenena kweli. Nimeshawahi kuwasikia viongozi wetu hata hapo mambo ya nje wakiongea hiyo lugha ya watu unataka kuingia uvunguni. Kweli tukitayarishe kizazi kijacho. Hatuna budi kuanzia shuleni. Hao waalimu wa lugha hiyo tunao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...