KATIKA kuhakikisha watu wa vijijini wanaongeza kipato shirika lisili la kiserikali metangaza washindi wa shindano la Ongeza kipato (Scaling Competition) kwa shindano la mwaka jana na kuzindua shindano jingine la mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
Mwanzilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanamlo kama Foundation, Fund for Rural Prosperity, Gabriel Kavuti amesema kuwa shindano hilo litawaongezea kipato watu wanaoishi vijijini kwa kuweza kushindana shindano hilo.
Amesema kuwa makampuni mengi yanaingia katika shindano hiloyakiwa na mapendekezo yakuongeza kipato na kuleta mabadiliko ya kweli ya kifedha kwa watu wanaoishi vijijini.
Kavuti amesema kuwa makampuni yanayotaka kushiriki katika shindano hilo unaweza kutembelea website yao ya www.frp.org. ili kupata fomu ya kushindania shindano hilo.
Mwanzilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanamlo kama Foundation, Fund for Rural Prosperity, Gabriel Kavuti akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kuwatangaza washindi wa tuzo kwa makampuni matano yenye thamani ya dola ka kimarekani 10 kwaajili ya kuimarisha uchumi wao wa ubunifu.
Mwanzilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanamlo kama Foundation, Fund for Rural Prosperity, Gabriel akionyesha jinsi shirika hilo la Mastercard linavyowasaidi watu wa vijijini.
Baadhi ya wadau wa kimsikiliza Mwanzilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali linalojihusisha na maendeleo vijijini lijulikanamlo kama Foundation, Fund for Rural Prosperity, Gabriel jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...