Kamera ya Globu ya jamii yakutana na kijipu upele katika barabara ya Dunga Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa na dimbwi la maji ambalo linaonekana kuwa sugu kwani sehemu hiyo imekusanya maji wakati wa kipindi cha mvua zilizokuwa zikinyesha.
(Picha  zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2016

    Haya madimbwi ndiyo yanaongeza mazalio ya mbu, maji yatengenezewe njia ili yasituame

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...