Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dk. James
Mataragio (mbele) akielezea mikakati ya shirika hilo katika matumizi ya gesi asilia
inayozalishwa kwa ajili ya matumizi ya majumbani na nyingine kuuzwa katika soko la
nje katika kikao kilichokutanisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia masuala ya nishati, Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo kilichofanyika
jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili matumizi ya gesi
iliyogunduliwa nchini katika matumizi ya ndani na nyingine kuuzwa nje ya nchi.
Home
Unlabelled
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DK. MHANDISI JULIANA PALLANGYO AKUTANA NA WATENDAJI KUTOKA TPDC KWA AJILI YA KUJADILI MATUMIZI YA GESI ASILIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Gesi hii imesambazwa mikoani pia mara ya mwisho nilipoenda likizo na kuiona wilayani nilinunulia jamii ya kijijini kwangu mtungi kampuni hiyo iliniambia mtungi ukiisha wambie wapige simu tutawauzia gesi haya ni maendeleo mazuri. Ujumbe watanzania tuinue wengine ili waboreshe kipato na hali ya maisha ikiwemo makazi ili waweze kumudu hizi bidhaa na huduma za gesi, watumie umeme, wahifadhi maji hata ya mvua kwenye matanki makubwa ya maji. Kinachozuia ni uwezo duni wa wengi wanaohitaji kuinuka hata kama ni kwa kuwekeza kwenye maendeleo yao ili waweze kunufaika na kuchangia maendeleo vizuri zaidi kama wateja wa huduma hizi za karne hii.
ReplyDelete