Ndege ya abiria ya EgyptAir namba MS804 imepotea asubuhi hii ikiwa angani ikitokea Paris kuelekea Cairo ikiwa na abiria 56 na wafanyakazi 10. Juhudi za kuisaka zinaendelea.
Ramani inayoonesha njia iliyopita hiyo ndege na chini ni moja ya ndege inayofanana na iliyopotea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2016

    Poleni walioathirika na upotevu huu wa ndege.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2016

    Shirika hili mbona limeandamwa na mikasa? Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...