Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke wakati wa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu kinachohusu masuala mbalimbali ya Ujerumani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha namba 8. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax Ikulu jijini Dar es Salaam. Dkt. Stergomena alifika Ikulu kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax pamoja na Maafisa wengine kutoka Ikulu na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke pamoja na ujumbe wake. Wengine katika picha ni Maafisa mbalimbali kutoka Ikulu. Picha na IKULU.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...