Home
Unlabelled
RAIS MAGUFULI ALIPOFANYA ZIARA YA GHAFLA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE TERMINAL 1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na watanzania wengi wako kama huyu mama. Ushahidi umeshapatikana na umekosea kwa nini usirekebishe usemi. Bado anadanganya zaidi na kujitetea dhidi ya ushahidi dhahiri. Wafanyakazi wa hivi wanatakiwa kwenda kwenye kozi za maadili. Wafundishwe kusema ukweli ni kanuni ya kwanza ya maadili. hata kama ukweli huo unakudhuru.
ReplyDeleteJPM unaona tatitizo la maadili kwa wafanyakazi? Anzisha somo la "Ethics" kuanzia mashule mpaka universities. Mtu asiajiriwe bila kufuzu masomo ya maadili. Hautashinda vita dhidi ya rushwa kama watu hawana maadili, hata askari wanaokusaidia wana matatizo ya maadili.
ReplyDeleteJuhudi za kuondoa rushwa siyo kuwa na askari bora tuu bali kuwa na raia wenye maadili. Maadili husomwa.
maswali ya daktari wa falsafa, usifanye mzaha.
ReplyDeleteMungu ametubariki sana kutupatia Magufuli. Hivi kweli haya yote utasema hatuhitaji Dikteta? Kweli tumuombee Magufuli. Wanaopinga anayoyafanya hawaitakii nchi yetu mema. Hats nchi za wazungu hazikuendelea kwa demokrasia: ama utumwa, ukoloni ama unyonyaji. Sisi tutajikomboa kwa kazi tu bila kuoneana aibu. God bless Magufuli and Tanzania.
ReplyDeleteNdugu zangu Swala la kusema UKWELI alimo ndani ya MAADILI ni mtu mwenyewe jinsi alivyo UMBWA na KUMUOGOPA MUNGU, NA KUPENDA NCHI YAKO,
ReplyDeleteUkweli in ndani ya maadili. We are just used to fool our leaders and have gotten away with it for far too long. Its about time our leaders stopped taking what they are fed for granted. Magufuli is showing the way. He deserves all our support.
ReplyDeleteMkurugenzi wa kiwanja hata kuongewa huwezi tena kwa kiswahili ukizingatia upo ktk eneo lako lako la kujidai tu.....haya hao wengine nao kalaumbwage yaani kweli bongo tamu yaani lazima nirudi bongo.....
ReplyDeleteduh watanzania sijui kwanini wanapenda kusema uongo. Yani hili ni janga la taifa.
ReplyDelete