Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakati alipowasili kuzungumza na wafanyabiashara wa nyama katika Machinjio ya Vingunguti kabla ya kuifungua rasmi jana. Katikati ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto ambaye ni Diwani wa Kata ya Vingunguti.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto (wa pili kulia), akielekeza jambo mbele ya Mkuu wa Mkoa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Isaya Mngurumi.
Taswira ya choo cha kisasa kilichojengwa kwenye machinjio hiyo.
Wafanyabiashara katika machinjio hiyo wakimsikiliza Makonda (hayupo pichani)
Mwonekano wa machinjio hiyo baada ya kufanyiwa ukarabati.
Mbona hali bado ni mbaya. Wamepaka rangi tu.
ReplyDeleteKuna haja ya TFDA kupitia upya viwango vya machinjio nchini.Ukiliangalia hili jengo utaona limekingwa na paa tu othewise niko wazi.Kwa hali hii bado afya ya mlaji haijazingatiwa.
ReplyDelete