SIMU.tv: Maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi nchini yamezidi kuongezeka zaidi kwa vijana huku vijana wa kike wakiwa hatarini zaidi kuliko wale wakiume;https://youtu.be/6TeIhJ5v4Z0
SIMU.tv: Baraza la madiwani halmashauri ya Kilwa mkoani Lindi wametoa dira ya bei ya zao la ufuta kwa wakulima huku bei ya mwanzo ikiwa ni shilingi 2000;https://youtu.be/S7WedHZTtdQ
SIMU.tv: Manispaa ya wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imetakiwa kujitathimini baada ya kutoa taarifa ya uongo juu ya uwepo wa bidhaa feki katika manispaa hiyo;https://youtu.be/NiG1cCZQp5w
SIMU.tv: Wananchi wa kijijini cha Kiru wilayani Babati wameahidi kutomaliza migogoro ya ardhi nawawekezaji wilayani humo endapo serikali haitokwenda kupima maeneo yao;https://youtu.be/yWSqh24dldI
SIMU.tv: Ligi kuu ya Tanzania bara inamalizika hii kwa michezo mbalimbali kupigwa katika katika viwanja tofauti nchini huku mabingwa wa ligi hiyo Yanga wakiwa songea kukipiga na Majimaji na Simba watakuwa uwanja wa taifa jijini Dar; https://youtu.be/TXnPwMlro4c
SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo ameliagiza jeshi la polisi kuwakamata watumishi wawili wa halmashauri ya Bunda kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2; https://youtu.be/GPdz2MUsEQo
SIMU.tv: Kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongella ameingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa ujenzi wa makao makuu ya halmashauri ya wilaya ya Msalala Kahama;https://youtu.be/ZHXnsRu73ec
SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametangaza msako wa wanafunzi wote watoro mkoani humo na kuwarudisha darasani mapema wiki ijayo;https://youtu.be/cgHmO0UWJVI
SIMU.tv: Wanafunzi wa kidato cha pili katika sekondari ya Madimba mkoani Mtwara wanalazimika kusomea katika maabara baada ya kukosekana kwa vyumba vya kutosha vya madarasa pamoja na nyumba za walimu na matundu ya vyoo;https://youtu.be/F75vQ7GtSE4
SIMU.tv: Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys imekosa nafasi ya kucheza fainali katika mashindano maluumu yanayoendelea nchini India baada ya hapo jana kutoka sare ya 2-2 na Malaysia; https://youtu.be/SokSl2EjctQ
SIMU.tv: Ligi kuu ya Tanzania bara inamalizika hii kwa michezo mbalimbali kupigwa katika katika viwanja tofauti nchini huku mabingwa wa ligi hiyo Yanga wakiwa songea kukipiga na Majimaji na Simba watakuwa uwanja wa taifa jijini Dar; https://youtu.be/dZ3jeZJT0qA
SIMU.tv: Timu ya soka ya Azam imesema kwa sasa iko katika mazungumzo na klabu ya Deportivo Terenife ya nchini Hispania kuhusu mauzo ya mchezaji wake Farid Mussa baada ya kufuzu majaribio yake ya soka la kulipwa; https://youtu.be/tXPRMDNosbA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...