Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...