Ofisa Mtendaji Mkuu wa kitengo cha huduma za kibiashara na makampuni wa Vodacom Tanzania,Gregory Verbond(Kushoto aliyekaa)na Meneja mkuu wa Shirika la Ndege la KLM nchini,Sharad Khuller(kulia)wakisaini mkataba wa ushirikiano kwa ajili ya wateja wa KLM kulipia tiketi zao za kusafiri kupitia huduma ya M-Pesa,Mkataba huo ulisainiwa jijini Dar es Salaam leo,Anaeshuhudia katikati ni Kaimu Ofisa Mkuu wa kitengo cha Kifedha wa Vodacom Tanzania,(M-Commerce),Sitoyo Lopokoiyit.
Kaimu Ofisa Mkuu wa kitengo cha Kifedha wa Vodacom Tanzania,(M-Commerce),Sitoyo Lopokoiyit(katikati)akishuhudia Ofisa Mtendaji Mkuu wa kitengo cha huduma za kibiashara na makampuni wa Vodacom Tanzania,Gregory Verbond(Kushoto)na Meneja mkuu wa Shirika la Ndege la KLM nchini,Sharad Khuller wakibadilishana mikataba baada ya kuisaini kwa ajili ya wateja wa KLM kulipia tiketi zao za kusafiri kupitia huduma ya M-Pesa,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kitengo cha huduma za kibiashara na makampuni wa Vodacom Tanzania,Gregory Verbond(Kushoto)na Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la KLM nchini,Sharad Khuller(kulia)wakielekeza jinsi ya kukata tiketi kupitia huduma ya M- PESA na Kaimu Ofisa Mkuu wa kitengo cha Kifedha wa Vodacom Tanzania,(M-Commerce),Sitoyo Lopokoiyit(katikati) wakati wa hafla ya kusainiana mkataba kwa ajili ya wateja wa KLM kulipia tiketi zao za kusafiri kupitia huduma hiyo,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...