Home
Unlabelled
WAZIRI MWIGULU ATOA HOJA YA KUIDHINISHIWA KWA BAJETI YA 2016/2017 MBELE YA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kazi ya ualimu ni ya kujivunia sana matokeo ya kazi yao kwa taifa wanayaona haraka ni dhahiri siyo kama kazi zingine. Hongera mwalimu.
ReplyDeleteNimefurahishwa sana na waziri Mwingulu kwa kukumbuka tuliko toka na mchango wa waalimu wetu toka ngazi mbalimbali na ugumu wa mazingira wanayo pambana nayo ikiwa ni pamoja na manesi, madaktari na mapolisi.
ReplyDeleteHongera na Pongezi za dhati Mh. Waziri Mwigulu Nchemba kwa kumkumbuka mwalimu wako na kwa heshma kubwa na taadhima ya kutoa hoja Bungeni, ili kutaka bajeti ya Wizara yako kuidhinisha makadirio na matumize ya fedha kwa mwaka 2016/2017 huku ikishuhudiwa na Mwalimu wako wa darasa la kwanza na la pili Bi Maria Mnkumbo. Ni fakhari iliyoje ya kumuenzi mwalimu wako, kitendo cha kushuhudia tu mwanafunzi wake au kupewa fursa hiyo na mwanafunzi wake ni jaza tosha katika kumuenzi Mwl. Bi Maria Mnkumbo. Naamini ombi la hoja yako litakubaliwa na kupokelewa kwa moyo mkunjufu kwa asilimia zote.
ReplyDeleteHongera Mwalimu na Nakushukuru Waziri kumkumbuka mwalimu wako.Lakini muhimu wasaidieni hawa walimu wastaafu mafao yao ni madogo sana .Waziri nakuomba liangalie hili, walau wapate hela ya kuwakimu mahitaji yao yote maana wamefanya kazi nzuri walistahili kuishi vizuri katika uzee wao.
ReplyDeleteSafi sana Mchemba! Mwalimu yuko na ule usiliasi wa ualimu kweli kweli. Ila hakikikisha unaingiza mkono mfukoni kabla hujaagana na ticha!
ReplyDeleteHongera sana Mh. Waziri kwa kumkumbuka mwalimu. Inaonyesha ni kwa jinsi gani una upendo na unajali.
ReplyDelete