Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dora Msechu amefanya mkutano wa kifungua kinywa (breakfast meeting) na wafanyabiashara wa Sweden uoliandaliwa na Baraza la Biashara la Sweden na Afrika Mashariki(SWEACC). Mhe. Balozi Dora Msechu amewahamasisha Wafanyabiashara wa Sweden kuwekeza Tanzania kwa kuwaeleza kwa kina fursa zilizopo pamoja na juhudi mahsusi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji na kukuza uchumi wa nchi ikiwa ni pamoja na mikakati kabambe ya kuimarisha sekta ya viwanda na kuboresha miundombinu.
Home
Unlabelled
Balozi Dora Msechu akutana na wafanyabiashara wa Sweden kuhamasisha biashara na uwekezaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...