BENKI ya Barclays Tanzania imezindua tawi la Banki hiyo katika jeno la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed akizungumza katika uzinduzi wa Tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
 Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross akizungumza na wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini pamoja na wateja wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed  na  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kufunguliwa tawi la benki ya Barclays katika jengo la City Mall jijini Dar es Salaam leo.
  Mtendaji Mkuu Benki ya Barclays Afrika na Mtendaji Mkuu wa wateja wa rejareja na bashara wa benki hiyo, Roy Ross  akiwa katika picha ya pamoja na afanyakazi wa benki ya Barclays tawi la City Malll jijini Dar es Salaam leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...