Waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Mbeya pamoja na wadau mbalimbali wakifuturu futali iliyoandaliwa na benki Kuu ya Tanzania (BOT)Tawi la Mbeya ambapo benki hiyo ipo katika kuadhimisha miaka ya hamsini ya kuanzishwa kwake.
Picha E.Madafa na D.Nyembe

Wageni waalikwa ,viongozi wa serikali na viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mbeya  wakipita kupata  futari kwenye ukumbi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la Mbeya .


Mkurugenzi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la mbeya  Jovenant Rushaka (wa pili) akiongoza wadau kupata futari.
Wafanyakazi benki kuu Tanzania tawi la Mbeya wakipata futari

Wageni waalikwa Viongozi wa serikali na wadau mbalimbali  wakibadilishana mawazo pamoja na kupata futari iliyoandaliwa na benki kuu Tanzania(BOT) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwa benki hiyo.

Wadau wakipata futari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kuna jamaa amekamattia mfupa hapo kama ana usongo nao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...