Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba na Kampuni ya Bima ya MGen wa kuweza kufidia asilimia ishirini ya mkopo ambayo mteja wa benki hiyo atakopa kwa ajili ya kununua nyumba. (Picha na Loveness Bernard)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akisaini mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya MGen Charles Sumbwe wa kuweza kufidia asilimia ishirini ya mkopo ambayo mteja wa benki hiyo atakopa kwa ajili ya kununua nyumba juzi jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...