Home
Unlabelled
BREAKING NYUZZZZ...: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA DKT. CHARLES TIZEBA KUWA WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI, MH. NCHEMBA APELEKWA MAMBO YA NDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The mdudu, safi sana huyu ndugu Waziri Nchemba mimi namkubali sana yaani ni kichwa ndani ya Tanzania yetu ndugu yetu Nchemba kalivalie njuga swala la vitambulisho vya taifa na uhakikishe uhamiaji unawatoa mamruki wote na uhamiaji wafanyakazi wafanye misako ya wahamiaji haramu kwa masaa 24 kwa kila siku wakisaidiana na jeshi la Police na unisahau kulibolesha jeshi la Police asante ni hayo kwa leo
ReplyDeleteSamahani siyo 'Mabadiriko' ni 'Mabadiliko'
ReplyDeleteSafi saanaaaa Huyu bwana naye ni jembe Kama Rais wetu, ndio orodha ya Marais wetu wa Tanzania kwa miaka ijayoo
ReplyDelete