
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama, wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani

Wanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakinyoosha
mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali
Mohamed Shein,wakati alipokua akiwashukuru kuwapongeza wanachama hao
baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka
huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani

Wanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua
akiwapongeza na kuwashukuru wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi
wa marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano
ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani

Wanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua
akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio
uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...