SIMU.TV:  Polisi wafichua kikundi hatari, Lowassa ang’aka kuadimika kwa sukari, JPM aibukia kwa mzee wa upako, Zitto atema cheche Dar es Salaam, Sendeka Msichague wabunge ili wakashinde baa, Yanga yajichimbia Algeria, Nyota kibao Simba wanataka Kusaini Yanga. https://youtu.be/oHz2N8jR728

SIMU.TV:  Waziri magembe aingizwa mkenge, Wabunge zaidi CHADEMA  kikaangoni, Dr. Shein sitovumilia mtu anayevuruga amani,Zitto tutajitoa mhanga, Lowassa ang’aka kuadimika kwa sukari, Polisi mwanza wapambana kwa saa 16 wakamata silaha nzito, Professor Lipumba njia nyeupe uenyekiti CUF.Mkwasa avunjia moyo baada ya Stars kuanguka. https://youtu.be/9Pp172bY-bQ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...