Mratibu wa Jr NBA Bahati Mgunda akizungumzia kuhusu mafunzo wanayoyapata vijana takribani 100 katik mchezo wa mpira wa Kikapu chini ya mchezaji wa kimataifa anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet na kusema kuwa itakuwa moja ya mchango mkubwa sana kwa vijana hao.
Mgunda amesema vijana wanapewa mvbinh mbalimbali za kuujua vyema mchezo huo na watakuja kuwa msingi mkubwa sana wa maendeleo ya baadae.
"Vijana wanapatiwa mafunzo na Hasheem na kama wakiendelea kupata fursa hiyo basi watakuj kuwa wachezaji wazuri sana,"amesema Mgunda. Vijana hao wamepatikana baada ya kuwa na ligi iliyokuwa inaendelea katika viwanja vya JMK Park ambayo kwa mujibu wa kituo hicho itakuwa ni endelevu na itaibua vipaji vingi.
Hasheem Thabeet akiwaelekeza jambo watoto haoMgunda amesema vijana wanapewa mvbinh mbalimbali za kuujua vyema mchezo huo na watakuja kuwa msingi mkubwa sana wa maendeleo ya baadae.
"Vijana wanapatiwa mafunzo na Hasheem na kama wakiendelea kupata fursa hiyo basi watakuj kuwa wachezaji wazuri sana,"amesema Mgunda. Vijana hao wamepatikana baada ya kuwa na ligi iliyokuwa inaendelea katika viwanja vya JMK Park ambayo kwa mujibu wa kituo hicho itakuwa ni endelevu na itaibua vipaji vingi.
vijana takribani 100 wakipatiwa mafunzo katik mchezo wa mpira wa Kikapu chini ya mchezaji wa kimataifa anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet iliyokuwa inaendelea katika viwanja vya JMK Park ambayo kwa mujibu wa kituo hicho itakuwa ni endelevu na itaibua vipaji vingi.PICHA HABARI NA ZAINAB NYAMKA,GLOBU YA JAMII.





Hasheem Thabeet anachezea timu gani kwenye ligi ya NBA huko USA?Tujuze tafadhali.
ReplyDelete