Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakibeba vyakula wakati  wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula  katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi  wa Vodacom Tanzania kupitia  taasisi ya jamii ya Vodacom  Tanzania Foundation, walijumuika  na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula  mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
PICHA NA MPIGAPICHA WETU
 Meneja wa Ruzuku na  Mawasiliano wa  Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto) akigawa vyakula kwa wanawake waislamu,  wakati  wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula  katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kupitia  taasisi ya jamii ya Vodacom  Tanzania Foundation,walijumuika  na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula  mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Wakazi wa Bagamoyo, Mohamed Ammer Maki (kulia) akifurahia msaada wa vyakula, wakati  wa hafla ya kutoa msaada wa vyakula  katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo jana. Wafanyakazi  wa Vodacom  Tanzania kupitia  taasisi ya jamii ya Vodacom  Tanzania Foundation, walijumuika  na Waislamu wa Bagamoyo na vitongoji vyake, kwa kuwapa msaada wa vyakula  mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. anayemhurumia masikini ni kama anamkopesha Mwenyezi Mungu naye atalipwa kwa ijara yake njema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...