Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P Mlima akizungumza na Wafanyakazi (hawapo pichani) wakati maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umama. Pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu alitumia fursa hiyo kusikiliza matatizo na kero mbalimbali zinazo wakabili watumishi wakati wa kutekeleza majukumu yao.

Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P Mlima akisisitiza jambo kwa watumishi wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu alitumia fursa hiyo kusikiliza matatizo na kero mbalimbali zinazo wakabili watumishi wakati wa kutekeleza majukumu yao. Pamojanaye ni Wakurugenzi wa Utawala na Usimamizi Raslimali Watu Niger Msangi (kushoto) na Bi. Mary Fidelis (Kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...