Leo tarehe 24/06/2016 ni miaka 7 tangu utwaliwe na Bwana , lakini tungali bado tunakukumbuka.

Unakumbukwa  na Mama yako Grace, Baba yako Richard, Dada Doreen & Kaka David, Bibi Suzy pamoja na Steve (SR).

Tunakuombea Mungu aendelee kukupumzisha kwa Amani tukiamini siku ya ufufuo tutakuwa pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...