Katika miaka ya hivi
karibuni ufugaji wa kuku umekua kwa kiasi kikubwa na kuwa mtaji mkuu wa
wajasiriamali wadogo na wakubwa katika kujiingizia kipato.
![]() |
Mkurugenzi wa Kuku Project Mary David |
Mary David maarufu kama
‘Mama Kuku’ ni Mkurugenzi wa Kuku Project Tanzania, ambaye pia ni msambazaji wa
mashine za kisasa za Incubator, yeye anasema kuwa mashine hizo zimekuwa
mkombozi kwa wafugaji wa kuku nchini kwa kuwa huuzwa kwa bei rahisi inayoendana
na mahitaji ya mfugaji mwenyewe.“Incubator zetu ni za
bei tofauti kuanzia shilingi laki nne na nusu ambazo zina uwezo wa kubeba mayai
arobaini na nane na kubwa kabisa ambayo hubeba mayai elfu kumi na tisa mia saba
kumi na mbili ambayo huuzwa kwa shilingi milioni ishirini,” anasema Bi. Mary.

Kwa
maelezo zaidi na jinsi ya kununua Incubator fika DAR ES SALAAM,MAGOMENI
MWEMBE CHAI,NYUMA YA KANISA LA WASABATO. SIMU : +255 653 691 138+255
715 908 307,+255 678 226 988
Kujua zaidi Like Page yao kwa kubofya hapa :
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...