SIMU.TV: Madiwani 24 wa halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha wamefikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la kuharibu uzio wa wenye thamani ya Sh. Mil 7; https://youtu.be/uLgUkTFtCoU
SIMU.TV: Kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani amesema jumla ya madereva 54 wamekamatwa jijini kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo kugonga mabasi ya mwendokasi;https://youtu.be/jHUIc1zrWz0
SIMU.TV: Lori la mizigo ya mawe limeporomoka bila dereva na kuparamia duka na kugonga wapiti njia hatua iliyosababisha taharuki katika mji wa Songea; https://youtu.be/n5W8fiPp_7g
SIMU.TV: Shirikisho la ngumi za ridhaa duniani yatoa nafasi ya mwisho kwa Tanzania kushiriki katika mashindano ya Olympic; https://youtu.be/BcoqUTewlPA
SIMU.TV: Shirikisho la tennis duniani lamfungia mchezaji Maria Sharapova kutoshiriki katika mchezo huo kwa kipindi cha miaka miwili; https://youtu.be/EdQwpN_5ZdI
SIMU.TV: Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF Limeanza kutoa fomu za leseni kwa vilabu vya soka ligi kuu na ligi daraja la kwanza; https://youtu.be/z9M9Szm2p0M
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka katika mamlaka ya chakula na dawa TFDA wakikufahamisha kuhusu bidhaa feki: https://youtu.be/P5tfYTH3sjY
SIMU.TV: Yajue mambo mbalimbali kutoka katika mada motomoto inayojadili kiundani kuhusu bajeti iliyopelekwa katika sekta ya kilimo: https://youtu.be/kE5bn4FDhB0
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mfatiliaji wa masuala ya serikali na uchumi akikujuza kuhusu bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya tano: https://youtu.be/tdbsfpqjsrc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...