Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bw Achiles Bufure, akifafanua jambo kwenye Mkututano na wasanii wa Kimataifa wa Ngoma za Ubunifu na Muziki, awapo pichani.
Msanii wa Kimataifa wa Ngoma za Ubunifu na Muziki wa asili Bw Isack Abeneko akifafanua jambo kwenye Mkututano na Uongozi wa MakumbushonaNyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bw Achiles Bufure, pamoja na wajumbe wa kikao wakisikiliza kwa makini ufafanuzi kutoka kwa Msanii wa Kimataifa wa ngoma za Ubunifu na Muziki Bw Isack Abeneko (walipi kushoto) kwenye Mkutano maalum wa maandalizi ya Onesho la sanaa litakalofanyika Tar 24 June 2016  kwenye Ukumbi wa Makumbusho Posta mjini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...