Familia ya Temu na ya Sanga wa Dar es Salaam
Tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa, marafiki na majirani kwenye Misa ya Shukrani kwa Mungu na kuwaombea watoto wa Marehuemu Coletha Ravasco Temu.
Misa itafanyika Jumamosi tarehe 18 Juni 2016, Kijitonyama , nyumbani kwa marehemu ( karibu na Ofisi Serikali za Mitaa Kijitonyama).
Kuanzia saa 6 Mchana, ikifuatiwa na sadaka ya chakula kwa wote.
Mnakaribishwa sana.
2Timotheo 2:1 Basi, wewe mwanangu, uwe imara katika neema iliyomo ndani ya Kristo Yesu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...