Mdau wa Globu ya Jamii Jacob Julius Rombo a.k.a Jaju a.k.a Mchopa akisherehekea na wahitimu wenzake baada ya kulamba nondozzzz ya Masters of Business katika Chuo kikuu cha Wuhan University of Technology, Hubei, China, wikiendi hii. HONGERA SANA MCHOPA!
Mchopa akipata selfie na wahitimu wenzake
Selfie kwa kwenda mbele baada ya kulamba nondozzzzz. Julius ni zao la taasisi ya WAMA iliyo chini ya mwenyekiti wake Mama Salma Kikwete.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...