Mwakilishi
wa Katibu Tawalawa mkoa wa Manyara Bw.Longino Kazimoto (katikati), akifungua
kikao cha pamoja kati ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na wanachama wake wa mkoa
wa Manyara. Mkutano huo ambao uliandaliwa na PSPF katika utaratibu wake wa kukutana
na wanachama wake katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa lengo la kujadiliana namna
bora ya kuboresha huduma na bidhaa ambazo PSPF inazitoa kwa wateja ulifanyika
mjini Babati.
Home
Unlabelled
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAKUTANA NA WANACHAMA WAKE WA MKOA WA MANYARA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YAHUSUYO HUDUMA ZA MFUKO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...