PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.
Prof Ninatubu Lema ,kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji wa mradi ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni muonekano mzuri wa kisasa tuendelee kuchangia ujenzi wa nyumba bora hasa za gharama nafuu, ziwe na bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.
ReplyDeleteTujifunze kutoka nchi ya jirani ina over supply ya office space na nyumba za kuishi sehemu nyingine, siyo kwa sababu wameweza kukidhi mahitaji ya nyumba ila ni kwa sababu wengi hali yao ya kipato haiwezi kumudu makazi ya gharama ya juu. Matokeo yake bei ya pango hali ikiendelea ya kukosa wapangaji wenye uwezo wa kulipa itabidi ishuke au nyumba ziuzwe ili mikopo ilipwe.