Picha ya pamoja , ujumbe wa serikali ya Puntiland wakiwa na wenyeji wao TPSC,waliokaa wa tatu kutoka kushoto Waziri wa Kazi,Vijana na Michezo wa Puntiland, Abdurahman Ahmed Abdulle na wa nne kutoka kushoto (waliokaa) Kaimu Mkuu wa chuo cha Ytumishi wa Umma (TPSC) Dkt.Henry Mambo. 
Kaimu Mkuu ya wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania(TPSC), Dkt. Henry Mambo (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Kazi,Vijana na Michezo wa Puntiland, Abdurahman Ahmed Abdulle kando ya kikao cha pamoja baina ya ujumbe wake na TPSC. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...