Home
Unlabelled
SALAM ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KUTOKA KWA WAZIRI MKUU, MH. KASSIM MAJALIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona tatizo la kuzima "free trade." Mwenyezi Mungu kahalalisha biashara (ya bidhaa halali kwa bei zote)." Mnunuzi kama hamudu basi asinunue. Siyo faradhi kufturu maboga au viazi au uji. Twishona watu wanfuturu chai, supu, wali, nyama-choma,
ReplyDeleteMi nadhani bidhaa hizi hupanda bei si kwa sababu wafanyabiashara wanataka kuwaadhibu waliofunga bali kwa sababu ya hali ya soko. Sayansi ya uchumi huseama kuwa bidhaa ikiwa ndogo sokoni kuliko wahitaji basi bei itapanda, kinyume ni sahihi pia. Kwa hiyo ni jinsi tu soko linavyoenda. Sasa hivi mahitaji ni makubwa zaidi ya bidhaa zilizopo.
Serikali isitumie nguvu kupanga bei bali ilete sokoni bidhaa zaidi ili bei ishuke yenyewe kufikia "equilibrium". Chezeni na sayansi maana ni karne yake. Zile bidhaa za magereza na jkt zimwageni sokoni.Mfanyabiashara na mnunuzi wabaki huru.
Hivi Ndugu Waziri mkuu, ikitokea bidhaa zikawa nyingi na kusababisha bei kushuka utawaomba wanunuzi pia wanunue kwa bei ya juu ili wafanyabiashara warudishe gharama zao? Maana bei inategemea gharama za uzalishaji, usafirishaji, uhifadhi, n.k. na sio suala la moyo. Ni suala la pochi(walet).
ReplyDelete