Na Zaina Nyamka, Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Serengeti Boys kikiwa katika mazoezi ya kujenga utimamu wa mwili chini ya Mshauri wa benchi la ufundi Mholanzi Kim Poulsen na kocha Mkuu Bakari shime katika viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam leo.

Timu hiyo imeingia kambini jana kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu kucheza kombe la mataifa Afrika nchini Madagascar 2017  chini ya umri wa miaka 17 dhidi ya Visiwa vya shelisheli Juni 26 mechi itakayopigwa kwenye dimba la uwanja wa Taifa.
 Mshauri wa benchi la ufundi Mholanzi Kim Poulsen katika akiwasimamia wachezaji wa kikosi cha Serengeti Boys kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu kucheza kombe la mataifa Afrika kwa vijana wa umri wa chini ya Miaka 17 nchini Madagascar 2017 dhidi ya Visiwa vya shelisheli Juni 26  mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Kocha Mkuu Bakari shime wa kikosi cha timu ya Serengeti Boys wakifanya mazoeti ya kuweka utimamu mwili katika viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...