Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh Ahamad Masauni amelitaka jeshi la polisi nchini kuongeza bidii katika kutokomeza uhalifu; https://youtu.be/8aLYyB9IPoM
Walimu wa shule za sekondari nchini wametakiwa kuwa na desturi ya kuongeza kiwango cha ufaulu mashuleni kwa kuweka mikakati imara katika mbinu za ufundishaji;https://youtu.be/y1URcnViN4g
Naibu waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia mazingira Ruhaga Mpina amewataka wahitimu wa elimu ya juu kujikita katika fursa za kilimo cha miti;https://youtu.be/NWK56UssGig
Katibu mkuu wa wizara ya Ujenzi na mawasiliano Eng. Joseph Nyamhanga amewataka makandarasi wanaojenga barabara mikoani kukamilisha kwa haraka miradi hiyo;https://youtu.be/mrds0EOPFz4
Mazungumzo maalumu juu ya umuhimu wa teknolojia katika kurahisisha mambo hususani katika sekta ya elimu kwa wanafunzi; https://youtu.be/hL-nCmdbA3k


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...