Eng Joseph Shega na Mkewe wa Nyumbu Kibaha wananasikitika kutangaza kifo cha Mzazi wao Mwalimu Francis Temba kilichotokea tarehe June 3, 2016 saa 1 jioni katika Hospitali ya Mpanda
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu wilayani mpanda mkoa wa Katavi
Habari ziwafikie Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, Loide Ipinge aliyoko nchini Namibia, Dr Nima Shidende wa UDOM, Dr Mary Sangu wa Dodoma ,Dr Frenk Shega wa Maunt meru Hospitol arusha Wanafunzi wote waliofundishwa na marehemu Mwalimu Francis Temba wana mpanda na wana Rukwa ndugu na jamaa wote wanao husika na msiba huo
Bwana ametotoa Bwana ametwa Jina lake lihimidiwe


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...