Huu ndio mnara unaolitambulisha Jiji la Mbeya uliopo katika kipita shoto kinachoelekea maeneo ya katikati ya Mji. historia inaonyesha kuwa Mnara huu ulijengwa mnamo Mwaka 1974 ikiwa ni katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya kuzaliwa kwa Chama cha Tanu ambacho baadae kilizaa Cha cha Mapinduzi (CCM). Huu ni Mnara maarufu sana Jijini hapa, ukini ni moja ya alama muhimu pia.
 Kwa mbali kule ni Mlima Loleza ambao ni moja ya Milima inayoupendezesha sana Mkoa wa Mbeya.
 Uwanja wa Ndege wa  zamani Jijini Mbeya, sasa magari tu ndio yanajiachia.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2016

    Taswira nzuri za Mbeya

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2016

    Jiji linavutia sana, hongereni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...