Na Geofrey Chambua
#1.TEMBO unayemjua wewe kwa wastani ana uzito wa kilogramu elfu kumi kwenda mbele (Hapa namuongelea tembo mkubwa) Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.
#2. Wakati mwanamke anabeba ujauzito kwa kipindi cha miezi tisa, TEMBO mkubwa wa kike anabeba ujauzito kwa jumla ya miaka miwili yaani miezi ishirini na minne kabla hajazaa.
#3. Ukimwondoa mwanadamu ambaye ana KIDEVU, Tembo ndiye mnyama mwinginbe ambaye pia anacho kidevu…..

#7. Kila mnyama kuna kitu anakiogopa sana, lakini ni ajabu sana kwa Tembo ambaye anamuogopa nyuki kuliko kitu chochote.
#8. Tembo mkubwa na mzito kupita wote anapatikana Afrika…
#9. Ikiwa mwanadamu hulala walau masaa nane kwa siku, kwa Tembo ni tofauti… Tembo hulala masaa mawili hadi matatu kwa siku!!

11. Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ili kuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka. Sambamba na harufu, tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa (by the way, tembo porini huitwa Masikio).
12 Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
13 Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne14. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano
Tanzania inaongoza kwa mauaji ya tembo. Biashara haramu ya meno yake ni ya tatu duniani kifaida ukiacha mbili za mwanzo ambazo ni madawa ya kulevya na silaha. Wachina ndio wanunuzi wakubwa wa meno ya tembo. Serikali isipochukua hatua kuzuia mzunguko wote wa hii biashara yawezekana miaka michache ijayo hakutakuwa na tembo kabisa Tanzania.
ReplyDelete