Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana.Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...