Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Mpoki Ulisobisya akizungumza katika Mkutano wa 12 wa Baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Afrika mashariki jijini Arusha.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na waziri wa afya toka Uganda(kulia kwake)wakifuatilia mada zinazowasilishwa Kenney mkutano huo.
Mawaziri wa afya za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa pamoja wa majadiliano kuhusu maendeleo endelevu ya kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya mawaziri wa baraza la Mawaziri wakiwa Kenye picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...