Magari yazuiliwa kupita na lori la Mizigo kupata hitilafu katikati ya Barabara likiwa likiingia Barabarani Eneo la Mahenje Njiapanda ya Mlowo Mbozi Mkoani Songwe.
Magari yakitafuta pa kupita ili kuendelea na Safari
Upenyo ukiendelea kutafutwa na baadhi ya Magari yaliyo wekewa Uzio na lori la Mbele yao. PICHA NA MR.PENGO MMG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...