Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi Bi. Hajira Mmambe akiwakaribisha wageni kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake viwanja vya Moshi Club.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick na Mkuu mpya wa wilaya ya Moshi,Kipi Warioba pia walikua ni miongoni mwa wageni waalikwa.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza wakati wa Futuru iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi .
Meneja wa Azania Benk tawi la Moshi Bi. Hajira Mmambe akiwakaribisha wageni katika Futuru iliyoandaliwa kwa wateja wa benki hiyo,hafla fupi iliyofanykika katika uwanja wa gofu wa Moshi maarufu kama Moshi Club.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...