Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akizungumza jambo wakati Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara (wapili kushoto), alipotembelea banda la PSPF kwenye jingo la Wizara ya Fedha na Mipango viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Julai 1, 2016. (Wapili kulia) ni Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina Martin.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, wakati alipotembelea banda la PSPF lililoko jingo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 1, 2016. Maonyesho hayo yanayoshirikisha nchi 30 kutoka sehemu mbalimbali duniani yalifunguliwa rasmi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Daud Msangi,(kushoto), akipatiwa maelezo na meneja masoko, mawasiliano na uenezi, costantina martin (katikati) na afisa masoko mwandamizi wa mfuko huo, rahma ngassa (kulia)
![]() |
Mwananchi akitazama vipeperushi vyenye maelezo ya kina kuhusu shughukli za Mfuko wa PSPF wakati alipotembelea banda la Mfuko huo. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...