Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida, Saidi Amanzi akikabidhi kitabu kwa Mwenyekiti wa BAKWATA Singida, Sheikh Hamis Mohamed Kituke (kulia) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa wateja wake mkoani Singida hivi karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi ya kiislamu (Islamic Banking) wa Benki ya NBC, Yassir Masoud.
Mkuu wa Huduma za Kibenki zinazofuata kanuni na misngi ya kiislamu (Islamic Banking) wa Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo waliyohudhuria hafla ya futari waliyoiandaa mjini Dodoma hivi karibuni.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, James Kinyanyi (katikati), Mkuu wa Huduma Rejereja za Kibenki wa benki hiyo, Musa Jallow (kushoto), wakizungumza na mmoja wa wateja wa NBC, Yasser Yusuf (kulia), katika futari waliyoiandaa kwa wateja wa Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...